AFRIPRISE
Loading page…
DSE MARKET · TANZANIA / 01
Rekodi Buy na Sell zako, kisha fuatilia Holdings, portfolio performance, Watchlist na Price Alerts sehemu moja.
Market snapshot
Soko kwa
muhtasari.
Kuanzia DSE market data hadi portfolio performance—taarifa muhimu bila kelele.
Angalia latest available price, daily change na volume kwa market review yako.
All DSE stocksChagua hisa, rekodi Buy na Sell zako, kisha fuatilia portfolio yako kadri soko linavyobadilika.
Angalia kampuni za DSE na ongeza unazopenda kwenye Watchlist.
Weka shares, price na Fees ili Holdings na cost basis ziwe sahihi.
Tumia Watchlist na Price Alerts kufuatilia bei muhimu bila kuangalia kila dakika.
HisaZangu inaweka DSE market data, portfolio performance, Watchlist na Price Alerts sehemu moja. Tunatumia Kiswahili rahisi pamoja na financial terms zinazoeleweka ili taarifa zibaki sahihi na rahisi kusoma.
Majibu mafupi kuhusu HisaZangu, market data na portfolio tracking.
Hapana. Ni portfolio tracker na market-data tool; haitumi maagizo ya Buy au Sell kwa broker.
Ndiyo. Tunaonyesha tarehe na status ya bei ili ujue data unayotazama ni ya wakati gani.
Watchlist huhifadhi hisa muhimu kwako. Price Alert hukutaarifu bei inapofikia target uliyoweka.
Hapana. Dividend ni cash income; idadi ya shares hubaki kama ilivyokuwa.
Anza bure na ufuatilie uwekezaji wako wa DSE sehemu moja.
Hifadhi kampuni unazotaka kufuatilia bila kuzitafuta kila mara.
DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE PLC
East African Breweries Ltd
ITRUST EAC LARGE CAP ETF
Jatu Plc
Japaul Holdings Ltd
| Stock | Company | Latest Price (TZS) | Change | % | Volume | Sector |
|---|---|---|---|---|---|---|
| AFRIPRISE | AFRIPRISE | 750 | -35 | -4.46% | 14,259 | Financial Services |
| CRDB | CRDB BANK PUBLIC LIMITED COMPANY | 2,840 | -30 | -1.05% | 423,683 | Banking |
| DCB | DCB COMMERCIAL BANK PLC | 400 | +15 | +3.90% | 56,924 | Banking |
| DSE | DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE PLC | 6,100 | -130 | -2.09% | 3,097 | Financial Services |
| EABL | East African Breweries Ltd | 5,500Older price | — | — | — | Manufacturing |
| IEACLC-ETF | ITRUST EAC LARGE CAP ETF | 1,410 | -10 | -0.70% | 39,325 | ETF |
| JATU | Jatu Plc | 200Older price | — | — | — | Services |
| JHL | Japaul Holdings Ltd | 8,700Older price | — | — | — | Insurance |
Market data is provided for information only and may be delayed. Confirm important information with DSE, your broker or a licensed adviser.